Simba SC

HAWA HAPA NYOTA WA SIMBA MIKATABA YAO INAMEGUKA

admin April 26, 2021 5:47 am


WAKATI ishu ya mkataba wa beki wa kushoto, mzawa Mohamed Hussein, ‘Tshabalala’ likizidi kufukuta ndani ya Simba inaelezwa kuwa kuna nyota wengi ndani ya kikosi hicho ambao mikataba yao inatarajiwa kumeguka mwisho wa msimu huu.

Habari zinaeleza kuwa tayari mabosi wa Simba wameanza kufanya vikao ili kujua namna gani wanaweza kuwaongezea mikataba nyota hao ambao wamekuwa na mchango mkubwa ndani ya kikosi hicho.

Miongoni mwa nyota ambao mikataba yao ipo ukingoni ni pamoja na kiungo mkabaji, Jonas Mkude.

Kiungo mshambuliaji, Miraj Athuman.

Kiungo mkaabaji Mzamiru Yassin.

Beki mkongwe na kiraka ndani ya Simba, Erasto Nyoni.

Beki wa kati, Pascal Wawa.

Beki wa kushoto, Mohamed Hussein.

Kiungo mshambuliaji, Francis Kahata.

Mshambuliaji namba moja wa Simba Meddie Kagere mwenye mabao 11.

Nahodha wa Simba, mshambuliaji mzawa John Bocco mwenye mabao 10.

Beki  Shomari Kapombe

ANDREW SIMCHIMBA, RAFAEL WAPELEKA KILIO COASTAL UNION, WAUPIGA MWINGI NA KUSEPA NA POINTI TATU YANGA : BADO HATUJAKATA TAMAA, TUTAZIDI KUPAMBANA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply