News

BREAKING: BENJAMIN ASUKILE WA PRISON AKUTANA NA RUNGU LA TFF

admin May 11, 2021 1:47 pm


NAHODHA wa kikosi cha Tanzania Prisons, Benjamin Asukile amefungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) michezo mitano na faini ya shilingi 500,000 , (laki tano).

Kwa mujibu wa taarifa ambayo imetumwa na TFF kupitia Ofisa Habari wake Clifford Ndimbo imeeleza kuwa TFF ilipitia ripoti mbalimbali za michezo ya Kombe la Shirikisho , (Azam Sports Federation Cup) baada ya kumalizika raundi ya tano ikiwemo mchezo namba 094 kati ya Tanzania Prisons v Yanga.

Taarifa hiyo imeeleza namna hii:-


MPANGO WA KAIZER CHIEFS WABUMA MAPEMA BONGO, KISA KUYEYUKA KWA DABI MWINYI ZAHERA AFUNGUKIA ISHU YAKE YA KUIBUKIA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply