Simba SC

VIDEO: SIMBA YAFAFANUA SABABU YA BERNARD MORISSON KUACHWA BONGO

admin May 11, 2021 3:47 pm


BAADA ya msafara wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kukwea pipa usiku wa kuamika leo na kuibukia Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya robo fainali dhidi ya Kaizer Chiefs na kumuacha nyota wao Bernard Morrison, uongozi wa Simba umetaja sababu za kumuacha nyota huyo. 


Pia Meneja Patrick Rweyemamu amesema kuwa wachezaji wengine ambao wamebaki Bongo ni pamoja na Said Ndemla, Miraj Athuman na Perfect Chikwende.

 

MWINYI ZAHERA AFUNGUKIA ISHU YAKE YA KUIBUKIA SIMBA AZAM FC YAIVUTIA KASI KMC MCHEZO WA LIGI KUU BARA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply