Simba SC

DIDIER GOMES ASEPA BONGO

admin June 8, 2021 5:48 am


DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amekwea pipa na kwenda nchini Ufaransa kwa ajili ya mapumziko mafupi.

Raia huyo wa Ufaransa ambaye ameongoza kikosi hicho mpaka kuishia hatua ya robo fainali katika Ligi ya Mabingwa Afrika alikwea pipa Juni 5.

Ikumbukwe kuwa alijiunga na Simba Januari 24 akichukua mikoba ya Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji na alisepa na Ndege ya Shiriki la KLM.

Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu amesema kuwa:” Timu kwa jumla ina mapumziko hadi Juni 8 mwaka huu ndio tutarejea tena  kazini,” .

Gomes anatarajiwa kurejea Bongo Juni 11 kuendelea na kazi yake.

VIDEO: MUONEKANO WA UWANJA WA KAUNDA MALI YA YANGA DIAS NA MANCHESTER CITY WAWEKA REKODI NDANI YA PREMIER LEAGUE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply