video

VIDEO: KIBU DENNIS NYOTA STARS ANAYETAJWA KUIBUKIA YANGA AFUNGUKA

admin June 14, 2021 7:47 am

NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Kibu Dennis amesema kuwa anafurahi kuweza kupata nafasi katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ambapo alitoa pasi moja na kusababisha faulo wakati Stars ikishinda mabao 2-0 dhidi ya Malawi pia ameomba sapoti kutoka kwa mashabiki. Kuhusu suala lake la kutakiwa Yanga amesema’ no comment’

 

MZAWA DEUS KASEKE AWEKA REKODI YAKE YANGA VIDEO: YANGA WATUMA UJUMBE KWA VIONGOZI, WAMTAJA KIBU, MWENYE KISU KIKALI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply