Home Ligi Kuu HIZI HAPA MECHI MBILI ZA LEO LIGI KUU BARA Ligi Kuu HIZI HAPA MECHI MBILI ZA LEO LIGI KUU BARA By admin - June 22, 2021 294 0 LEO Juni 22, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo timu mbili zitakuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Tanzania Prisons itawakaribisha Coastal Union, Uwanja wa Nelson Mandela. Simba itawakaribisha Mbeya City Uwanja wa Mkapa.