EURO 2020

HIZI HAPA TAKWIMU ZA MABAO YA PENALTI YA RONALDO NA MESSI

admin June 24, 2021 12:48 pm


BAADA ya jana kufanikiwa kufikia rekodi ya Ali Daei ya kufunga mabao 109 katika michezo ya timu za Taifa, kupitia mikwaju miwili ya penalti, watu wengi wamekuwa na maoni tofauti katika takwimu za mabao hayo ya Ronaldo ambapo baadhi wanasema yametokana na kuwa na mabao mengi ya penalti.

Sasa hizi hapa ni takwimu za penalti kwa RONALDO, na MESSI kwenye mechi za Kimataifa

RONALDO

Mabao 109

Penati 14

MESSI

Mabao -73

Penati -17

ZITAKAZOPATA NAFASI YA KUSHIRIKI KIMATAIFA ZIFANYE KWELI MOTO WA SALAH LIGI KUU ENGLAND NI BALAA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply