Home Yanga SC BREAKING: YANGA WATHIBITISHA KUSITISHA MKATABA WA LAMINE MORO Yanga SC BREAKING: YANGA WATHIBITISHA KUSITISHA MKATABA WA LAMINE MORO By admin - July 29, 2021 0 BREAKING:Rasmi uongozi wa Yanga umesitisha mkataba wa beki wao na nahodha Lamine Moro raia wa Ghana kwa makubaliano maalumu. Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga leo Julai 29 imeeleza namna hii:-