video

VIDEO:KESI YA MORRISON NA YANGA LEO, SIMBA WATOA TAMKO

admin July 29, 2021 10:47 am


LEO JULAI 29, 2121 Jaji Patrick Stewart, raia wa Uingereza ataisikiliza kabla ya kuitolea uamuzi kesi ya klabu ya Yanga dhidi ya Bernard Morrison, huku klabu anayoichezea kwa sasa, Simba, ikisema kesi hiyo haiwahusu, bali ni ya pande hizo mbili. 


 Yanga imefungua kesi namba CAS 2020/A/7397 kwenye Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) dhidi ya Morrison ambayo leo itasikilizwa na Jaji Stewart, huku Simba ikisema wanaijua kesi hiyo, lakini haiwahusu kwani inawahusisha Yanga na Morrison.

 

HII HAPA RATIBA YA KAGAME PAMOJA NA MAKUNDI VIDEO: LAMINE OUT YANGA, KESI YA BERNARD MORRISON LEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply