Simba SC

TAZAMA NAMNA JEMBE JIPYA LA SIMBA LILIVYOANZA KAZI

admin August 17, 2021 7:43 am


INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Siba, Israel Mwenda ni miongoni mwa wachezaji ambao wapo kambini nchini Morocco.


Agosti 16, Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ilimtambulisha nyota huyo kwa ajili ya kuwatumikia kwa msimu ujao wa 2021/22 na amesema kuwa yupo tayari kupambana kwa ajili ya timu hiyo.


Hizi hapa ni baadhi ya picha zake akiwa ameanza mazoezi nchini Morocco:-


NYOTA HAWA WANA MAJINA MAKUBWA, ILA KAZI YAO UWANJANI KIDUCHU KUTOKA MOROCCO, GOMEZI ATOA KAULI HII YA KIBABE BAADA YA UJIO WA MASTAA WAPYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply