News

NYOTA MTIBWA SUGAR AJIFUNGA POLISI TANZANIA

admin August 18, 2021 4:44 pm


 MSHAMBULIAJI wa Mtibwa Sugar, Mohamed Hilika msimu ujao atakuwa na jezi ya Polisi Tanzania baada ya kusaini dili jipya katika timu hiyo.

Nyota huyo alikuwa kwenye ubora wake kwenye mechi ya mwisho ya mchezo wa mtoano ambapo aliweza kufunga mabao matatu na kusepa na mpira wake.

Ilikuwa mbele ya Transit Camp, Uwanja wa Uhuru, Julai 21 na alitupia mabao hayo dakika ya 9,70 na 84.

Mshambuliaji huyo amesema:”Nimejiunga na Polisi Tanzania ninafurahi kufanya hivyo. Nimekuja kupata changamoto mpya na nitajitahidi kufanya vizuri,”.

Chanzo:Championi 

KUHUSU CHAMA KULAZIMISHA KUONDOKA SIMBA…UKWELI UKO HIVI MAVITU YA SAKHO, VARANE YAMPA MZUKA GOMES..KUPIGA GAME YA KIRAFIKI JUMANNE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply