Yanga SC

BREAKING: HAJI MANARA ATAMBULISHWA YANGA

admin August 24, 2021 5:43 pm


ALIYEKUWA Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara leo ametambulishwa ndani ya Yanga huku akiahidi kuwa tamasha la Jumapili la Wiki ya Mwananchi halijawahi kutokea. 


Manara amesema kuwa kazi anaanza kesho rasmi kwa kuzindua jezi mpya ambayo haina makando.
Utambulisho wa Haji Manara umefanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Serena katika mkutano wa Waandishi wa Habari ulioanza saa 12:58 jioni.

Akimtambulisha Senzo Mbatha ambaye ni Mshauri Mkuu kuelekea masuala ya mabadiliko amesema kuwa anarejea nyumbani na atafanya kazi kwa ushirikiano na wengine. 
BAADA YA KUACHANA NA YANGA….WAZIRI Jr AIBUKA NA HILI JIPYA..AMTAJA NABI BAADA YA YANGA KUMSAJILI BANGALA LITOMBO..ZAHERA AIBUKA NA HAYA..AMTAJA YONDANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply