Simba SC

SIMBA YATOSHANA NGUVU TENA MOROCCO, KIKOSI KUREJEA JUMA HILI TANZANI

admin August 26, 2021 7:43 pm


KATIKA mchezo wa kirafiki ambao Simba wamecheza leo dhidi ya Olympique Club wametoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1.

Huu unakuwa ni mchezo wa pili kwa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Didier Gomes ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22.

Ule wa kwanza walitoshana nguvu kwa kufungana mabao 2-2 dhidi ya FAR Rabat ya Morocco. 

Kikosi hicho kinatarajiwa kurejea mwishoni mwa juma hili ili kuendelea na maandalizi ya mwisho kuelekea katika msimu mpya.

Kwa ardhi ya Tanzania leo pia Simba walizindua App yao maalumu kwa ajili ya kuwapa taarifa mashabiki wake.

BAADA YA KUAMBIWA YEYE NI TAJIRI WA INSTAGRAM..MO DEWJI AMJIBU MANARA KWA STAILI HII MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply