Simba SC

VIDEO; KOCHA SIMBA ANAAMINI WATAJENGA UFALME KWENYE SOKA LA VIJANA

admin August 26, 2021 8:43 am


KOCHA wa timu ya vijana ndani ya Simba, Mussa Mgosi amesema kuwa wachezaji aliokuwa anawatafuta katika mchujo tayari amepata timu kamili jambo ambalo linampa nafasi ya kuweza kutengeneza timu nzuri.


 Mgosi anaamini kwamba atatengeneza wachezaji wazuri watakaokuja kufanya mambo makubwa katika ardhi ya Tanzania na wanaweza kupandishwa kwenye timu kubwa kama ilivyokuwa kwa Ibrahim Ajibu, Jonas Mkude. 

 

SAKATA LA MORRISON NA YANGA NGOMA BADO MBICHI DUH! UNAAMBIWA KIPA MPYA YANGA ANADAKA MPAKA MISHALE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply