KMC FC

PAMOJA NA KUCHWA NA YANGA..FARUK SHIKHALO ARUDI BONGO NA KUSAINI DILI JIPYA

admin August 30, 2021 5:30 pm


ALIYEKUWA kipa wa Yanga, Faruk Shikhalo amejiunga na klabu ya KMC kwa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo.

Mtu wa karibu na mchezaji huyo alithibitishia  kwamba Shikhalo amesaini mkataba huo na anatarajia kwenda kujiunga na wenzake kambini.

“Shikhalo ameshasaini na KMC, timu ipo Morogoro yeye anakamilisha baadhi ya vitu ili aende akajiunge na wenzake,” kilisema chanzo hicho.

Shikhalo anaenda kukutana na kipa mkongwe, Juma Kaseja ambaye amejihakikishia nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha KMC.

Kipa huyo aliachana na Yanga baada ya kutoongezewa mkataba  yeye na mwenzake Metacha Mnata huku nafasi zao zikichukuliwa na Diarra Djigui na Erick Johola.

SIMBA DAY YA MSIMU HUU USIPIMEEH…MABINGWA WA AFRIKA KUTUA NCHINI KUKIPIGA SIKU HIO LWANGA..KAGERE, BOCCO WAZUIA SIMBA DAY…UONGOZI WAFUNGUKA HAYA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply