kimataifa

LIVERPOOL WATAJWA KUWA KWENYE RADA ZA MASTAA KIBAO, TRAORE,MBAPPE

admin August 31, 2021 3:43 am


WAKATI dirisha la usajili Ulaya likitarajiwa kufungwa leo Agosti 31 usiku, Liverpool inatajwa kuwa katika hesabu za kuwa kwenye anga za za kunasa saini za baadhi ya nyota.

Miongoni mwa wanaotajwa kuwa katika rada hizo ni Saul Niguez ambaye ni kiungo ndani ya Klabu ya Atletico Madrid na timu ya taifa ya Hispania ana umri wa miaka 26 alikuwa anatajwa kuwaniwa pia na Manchester United.

Yupo pia Renato Sanches kiungo anayecheza ndani ya Ligue 1 akiwa katika Klabu ya Lille na ana umri wa miaka 24 alikuwa anatajwa pia kuwaniwa na Wolves.

Kylian Mbappe mshambuliaji wa PSG huyu Real Madrid wanampigia hesabu kali wanashindana katika dau tu kwa sasa na Adama Traore, mwenye miaka 25 akiwa anacheza winga ndani ya Wolves alikuwa anatajwa kuibukia ndani ya Spurs pia.


WAKATI HUKU YANGA WALIMUONA KITUKO..SARPONG AWA LULU UARABUNI..KULIPWA TSH MIL 27 KWA MWEZI MUGALU ATAJWA NA BEKI MPYA WA SIMBA BAKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply