News

UZINDUZI WA JEZI YA SIMBA SEPTEMBA 4

admin September 1, 2021 11:43 am


SASA ni rasmi kuwa uzinduzi wa jezi za Klabu ya Simba itakuwa ni Septemba 4, saa 1:00 usiku.

Kupitia kwa Fred Ngajiro Mtendaji Mkuu wa Vunja Bei ambaye alishinda tenda ya jezi amesema kuwa jezi hiyo mpya ya Simba itakuwa ni nzuri sana na ya kipekee.

“Uzinduzi wetu wa jezi tutaizundua Septemba 4, saa 1:00 usiku na jezi yetu itakuwa nzuri sana kushinda jezi za timu nyingine hizi za ndani.

“Baada ya uzinduzi zitakuwa madukani na zitauzwa masaa 24, na nina amini kwamba ni bora,” amesema.

Asubuhi ya leo Simba walitoa taarifa kwamba watakuwa na mkutano ambao utazungumzia masuala ya jezi.

BAADA YA KICHAPO KUTOKA ZANACO…MANARA AFUNGUKA HAYA..AWATAJA VIONGOZI WA SIMBA SIMBA YAPIGA HESABU NDEFU, YAWAAMBIA MASHABIKI WATULIE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply