video
SAUTI: YANGA YATUMA MAJINA HAYA CAF,KIKOSI KINASUKWA
KUELEKEA kwenye mchezo wa kimataifa unaotarajiwa kuchezwa Septemba 12, Uwanja wa Mkapa dhidi ya Rivers United tayari majina yametumwa Caf kwa ajili ya wachezaji ambao watatumika katika mashindano ya kimataifa.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.