news

NABI MAMBO MAGUMU YANGA

admin September 15, 2021 4:43 am


IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amepewa mechi mbili ikiwa ataboronga safari itamkuta.

Nabi kibarua chake kimeanza kuwa katika wakati mgumu baada ya kushindwa kufanya vizuri katika mechi mbili za hivi karibuni baada ya Ligi Kuu Bara kumeguka.

Ilikuwa ni ile ya Wiki ya Mwananchi ambapo ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 1-2 Zanaco pamoja na ule wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali ambapo Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 0-1 Rivers United.

MBWIGA AMPIGA MKWARA HAJI MANARA,ASHAURI NAMNA YA KUWA NA MASTAA HANS POPPE KUZIKWA LEO IRINGA,PUMZIKA KWA AMANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply