news

BAADA YA KUPEWA MSAMAHA NA KUACHILIWA …MWAKALEBELA AIBUKA NA JIPYA KUHUSU TFF NA YANGA….

admin November 6, 2021 9:00 am


Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela amefunguka na kusea kuwa, kwasasa Yanga na Shirikisho la Soka Nchini TFF wana mahusiano mazuri ya kiutendaji kazi na kuona mchezo wa kiungwana ukionekana kwao.

Mwakalebelea ameyasema hayo wakati alipokuwa anafanya mahojiano na kituo cha EATV

“Tuna mahusiano mazuri na shirikisho tunaalikana kwenye shughuli mbalimbali tukituma barua zinashughilikiwa. Majadiliano yetu ya nyuma yamezaa matunda” Alisema Mwakalebela.

kumbukwe kuwa Yanga TFF iliripotiwa kutokuwa na mahusiano mazuri jambo lililopelekea Mhe. Waziri wa dhamana ya michezo Innocent Bashungwa kuwataka wawili hao waketi ili waayazungumze na kumalizo tofauti zao mwezi.

VIGOGO SIMBA WAVAMIA NYUMANI KWA KIBWANA SHOMARI..WAMWAGA AHADI ZA KUFA MTU ASISAINI YANGA TENA… KISA YANGA..HITIMANA AKUNJA SURA KISHA AFUNGUKA HAYA..ADAI WANAMPA PRESHA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply