News

KISA KUTAKIWA KURUDI YANGA…METACHA MNATA ATEMANA NA WAKALA WAKE…

admin December 26, 2021 5:00 am


Golikipa namba moja wa Timu ya Polisi Tanzania, Metacha Mnata amevunja mkataba na aliekuwa meneja wake Jemedari Said.

Tamko hili limekuja wakati huu ambapo metacha anazungumzwa kuhitajika na Yanga ambao wanampoteza Golikipa wao raia wa Mali Diarra anaekwenda kujiunga na Timu yake ya Taifa katika michuano ya AFCON.

Uhusiano wa Meneja huyo na Viongozi wa Yanga kwa siku za hivi karibuni umekuwa sio wa kuridhisha jambo linalowaacha wengi na maswali pengine ili aweze kurudi Yanga kwa urahisi basi golikipa huyo ameona ni vyema aachane na meneja wake.

PABLO: HII TRELA TU..MAMBO BADO..AOMBA RADHI…YANGA YAPIGWA BAO JIONI…MWANASPOTI LEO.. VIGOGO SIMBA WAAMUA KUIFANYIA UMAFYA YANGA KWENYE ISHU YA CHAMA…WAIBUKA NA JIPYA HILI..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply