news

KAGERE KUONGOZA MAUAJI DHIDI YA NAMUNGO LEO..’SHIBOUB NA MOUKORO WANYIMWA JEZI’….

admin January 10, 2022 4:52 pm


Mshambuliaji Medie Kagere amepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa nusu fainali ya michuano ya Mapinduzi dhidi ya Namungo utakaopigwa Uwanja wa Amani saa 2:15 usiku.

Kagere atapata msaada wa karibu kutoka kwa viungo washambuliaji, Kibu Denis, Rally Bwalya na Pape Ousmane Sakho.

Jonas Mkude na Sadio Kanoute wamepangwa katika idara ya kiungo ya ulinzi huku Joash Onyango na Henock Inonga wakisimama kama mabeki wa kati.

Kikosi kamili kilivyopangwa

Aishi Manula (28), Shomary Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Henock Inonga (29), Jonas Mkude (20), Denis Kibu (38), Sadio Kanoute (3), Medie Kagere (14), Rally Bwalya (8), Pape Sakho (17).

Wachezaji wa Akiba

Ally Salim (1), Israel Mwenda (5), Pascal Wawa (6), David Udoh (33), Bernard Morisson (3), Mzamiru Yassin (19), John Bocco (22), Chris Mugalu (7), Hassan Dilunga (24).

AZAM WAIBONYEZA KIZENJI YANGA BONYEEEE….KAZE AWATUPIA MSALA WACHEZAJI.. BAADA YA KUICHACHAFYA NAMUNGO…HIVI NDIVYO SAKHO ALIVYOOGELEA MINOTI ZNZ…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply