news

BAADA YA SIMBA KUCHAPWA NA KAGERA JUZI…PABLO ATIKISA KICHWA KISHA ASEMA HAYA…ADAI KUUMIA…

admin January 28, 2022 5:00 am


KOCHA Mkuu wa Timu ya Simba, Franco Pablo Martin amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia kichapo cha 1-0 dhidi ya Kagera Sugar.

Simba ilipoteza mchezo huo mkoani Kagera, juzi Jumatano bao likifungwa na Khamis Kiiza ‘Diego’. Kocha Pablo amesema imekua bahati mbaya kwa kikosi chake kupoteza mchezo huo, hivyo hana budi kuomba radhi kwa kilichotokea Uwanja wa Kaitaba.

“Ni matokeo ya kusitikisha sana, hatukutarajia kwa sababu tulijiandaa kushinda, imeniuma sana kupoteza alama tatu hapa, niwateke radhi Mashabiki ambao walikua na matumaini na timu yao leo (jana),” amesema Pablo.

Simba imepoteza mechi mbili msimu huu na sare nne, hivyo kuwa nyuma kwa pointi 10 nyuma ya Yanga wanaoongoza Ligi Kuu Bara.

SIMBA:…TUNAHUJUMIWA..BOSI AFUNGUKA MAMBO MAZITO…ATOA SIKU TATU…PABLO AJITIBULIA MWENYEWE.. PAMOJA NA KUWA NA KUWANGO KIKUBWA…NABI APITISHA ‘TIKI YA KIJANI KWA SAIDO’…UONGOZI WATOA NENO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply