Habari za michezo

BILIONEA WA LIVERPOOL AJITOKEZA KUTAKA KUINUNUA CHELSEA…MATAJIRI WENGINE HAWA HAPA…

admin March 26, 2022 6:00 pm


IMERIPOTIWA kuwa familia ya Ricketts ipo kwenye orodha ya wale ambao wanahitaji kuinunua Klabu ya Chelsea inayomiliki Uwanja wa Stamford Bridge.

Pia wengine ni pamoja na Mwenyekiti wa zamani wa Liverpool Martin Broughton.

Kwa mara ya kwanza ililipotiwa na Sky News siku ya Alhamisi huku Boston Celtics na mmiliki wa kampuni ya Atalanta Stephen Pagliuca naye akiwa katika orodha hiyo.

Watu wanaoisapoti Chelsea wameweka bayana kuwa wana imani na familia ya Ricketts katika suala la kuweza kuiendesha timu hiyo.

BAADA YA YANGA KUANZA KUMFUKUZIA…SIMBA NAO WANOA NDOANO KUMNASA AZIZ KI..MAMBO YAKO HIVI.. KWA REKODI HIZI…IPO SIKU NCHI NZIMA ITAMUIMBA TEPSI EVANCE…AKIKAZA KIDOGO TU..ULAYA HII HAPA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply