Habari za michezo

PETER BANDA AZIDI KUNG’ARA SIMBA…AWAPIGA MWELKEA WA KARNE KINA KAPOMBE…

admin March 28, 2022 11:00 am


Winga wa Simba, Peter Banda amechaguliwa mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Machi (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month).

Banda amewapiku kiungo mshambuliaji Pape Ousmane Sakho na mlinzi wa kulia Shomari Kapombe ambao aliingia nao fainali.

Katika mwezi Machi Banda amecheza mechi nne sawa na dakika 226 akionesha kiwango safi na kusaidia kupatikana kwa bao moja (assist).

Mchanganuo wa kura ulikuwa kama ifuatavyo;

  1. Banda Kura 2682, sawa na asilimia 74.
  2. Sakho kura 744 sawa na 20.
  3. Kapombe Kura 218 sawa na asilimia 6.
BAADA YA KUONA NA ‘KUINJOYI’ FUNGATE…SAIDO AIPIGA MKWARA WA KUFA MTU AZAM FC… KANOUTE AWAGOMEA MABOSI SIMBA…NI KUHUSU ISHU YA KUSEPA…ISHU NZIMA IKO HIVI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply