Habari za michezo

KUMBE ILE ISHU YA BILIONEA WA CHELSEA KUPEWA SUMU AKIWA UKRAINE IKO HIVI AISEE….

admin March 29, 2022 3:00 pm


Mmiliki wa Klabu Bingwa Duniani Chelsea FC, Roman Abramovich imeripotiwa kuwa yupo sawa baada ya kutajwa kuwa na dalili za maumivu katika macho, huku ikitajwa kuwa ni sumu za kemikali.

Kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi wa mtandao wa Bellingcat, Abramovich na Ukraine walikuwa katika mazungumzo ya masuala ya amani alikuwa akisumbuliwa na maumivu ya macho.

Sky Sports imeripoti kwamba Abramovich yupo sawa na maisha yake hayapo katika hatari.

Bellingacat walitweet:”Bellingcat inaweza kueleza kuwa watu watatu ambao walikuwa katika kikao cha mazungumzo ya amani kati ya Ukraine na Urusi usiku wa Machi 3 na 4,2022 wameonesha dalili ambazo zinaonyesha kwamba wamepata sumu za kemikali.

“Miongoni mwa waathirika ni Mjasiriamali wa Urusi Roman Abramovich.”

UKWELI NI KWAMBA….USHINDI WA SIMBA JUMAPILI UTAIBEBA TENA TANZANIA CAF…ISHU NZIMA IKO HIVI… KUELEKEA MECHI NA USGN…PABLO KAONA ISIWE TABU…KAANIKA HALI JINSI ILIVYO…WACHEZAJI WAHUSIKA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply