Habari za michezo

RASMI….HATIMAYE KELVIN JOHN AWEKA REKODI NYINGINE ULAYA…ACHUKUA NAFASI YA MJAPANI…

admin April 4, 2022 7:00 pm


Kinda wa Kitanzania Kelvin John (19) baada ya kupandishwa kucheza timu ya wakubwa ya KRC Genk ya Ubelgiji, hatimae jana alipata nafasi ya kuichezea kwa mara ya kwanza katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Eupen katika mchezo wa Ligi Kuu Ubelgiji.

Kelvin John katika mchezo huo aliingia akitokea benchi dakika ya 81 kuchukua nafasi nafasi ya Mjapan Junya Ito na kwenda kumalizia dakika 9 zilizokuwa zimesalia ili kukamilisha dakika 90 za mchezo.

“Nashukuru sana mashabiki kwa sapoti nikicheza mchezo wangu wa kwanza KRC Genk, nafuraha sana asanteni wote” amesema Kelvin John baada ya mchezo kumalizika

SPOTIFY WAIKOA BARCELONA NA NJAA YA PESA ….WAKUBALI KUBADILI JINA LA UWANJA WAO CAMP NOU… BAADA YA KUICHAPA USGN KIPOGO CHA ‘MWANA UKOME’…..AHMED ALLY AMRUSHIA MANARA KIJEMBE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply