Habari za michezo

MANARA: SIPO YANGA KUUZA SURA…..NITAVAA MEDALI YA UFALME….NITAHAMA NCHI IKIBIDI….

admin April 10, 2022 9:25 am


Yanga tusipochukua Ubingwa nahama nchi, Naongea kwa kinywa kipana na Jeuri inayotokana na Performance yetu, huku nikikiangalia kikosi chetu,,kisha nikiziangalia dhamira za Wanayanga, Ubingwa wa msimu wa 2021 /22 utakwenda Jangwani,,Insha’Allah.

Narudia na kurudia na kurudia tena, Young Africans SC, Mabingwa mara Ishirini na Saba wa Taifa hili wanakwenda kuongeza Taji lingine la ufalme Msimu huu,,Insha’Allah.

Namba na Takwimu za sasa katika ligi kuu,bubora wa Mchezaji mmoja mmoja, Squad yetu , Mipango na Maandalizi yetu + Ari ya kila Mwananchi,,,nitaukana Utanzania wangu niupendao sana iwapo tutashindwa kubeba Ndoo yetu.

Kumbuka, @Yangasc ndio Champions of all time wa Tanzania, tunajua raha ya ubingwa kuliko Club yoyote nchi hii, Kombe la Premier League limeimiss zaidi Young Africans kuliko Sisi tulivyolimiss, So,hilo Kombe lenyew haliwezi kukubali kuendelea kupotea njia tena this season.

Kwanza kiasili mimi na Mataji ni Damu Damu na Sipo Yanga kuuza Sura,,,I repeat,,NTAVAA MEDALI YA UFALME WA SOKA WA TANZANIA MSIMU Huu….. Insha’Allah ????????????????

BAADA YA CAF KUTAKA VAR KUTUMIKA KWA MKAPA….UONGOZI SIMBA WASHINDWA KUJIZUIA…WAIBUKA NA HILI ETI… BAADA YA KUPEWA CHEO KIPYA YANGA…DJUMA SHABANI AKUMBUSHIA YA AS VITA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply