Habari za michezo

EHHEE…KUMBE LIGI KUU ENGLAND WALIKUWA HAWAJAMTAMBUA BOSI MPYA WA CHELSEA TU…WAMETOA WARAKA HUU….

admin May 26, 2022 2:47 am


Bodi ya Premier League imethibitisha mapendekezo ya kuuzwa kwa klabu ya Chelsea kwa Todd Boehly na washirika wake kama ilivyotangazwa jana jioni kwenye ligi hiyo.

Todd Boehly anayemiliki klabu ya Los Angeles Dodgers na washirika wake, wamekubali kulipa kiasi cha £4.25 bilioni kuinunua klabu hiyo kutoka kwa Roman Abramovich ambaye amekuwa akiimiliki kwa miaka 19 sasa.

Waraka wa Premier League uliotoka jana jioni unasomeka ” Bodi ya Premier League leo imethibitisha mapendekezo ya kuinunua klabu ya chelsea kwenda kwa Todd Boehly/Clearlake na washirika wake.

“Malipo yanabaki chini ya serikali ambao wanatoa kibali cha mauzo na kujiridhisha maridhiano ya mwisho hadi hatua ya malipo.”

BAADA YA MAYELE KUANZA KUTETEMA TENA….GEORGE MPOLE LEO ‘KUMTIMULIA VUMBI’ KWENYE UFUNGAJI BORA..? KISA MAYELE KUANZA KUTETEMA TENA…UNAAMBIWA HUKO SIMBA HAWAACHI KUMTAJA TAJA…PABLO ATOA ONYO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply