Habari za michezo

FT:MBEYA CITY 1-1 YANGA ….MAKAMBO ATUMA SALAMU KWA GSM KUWA BADO ANADAI…CITY WAKATAA KUWA KICHAKA…

admin June 25, 2022 4:03 pm


Wenyeji Mbeya City wamekataa kwa mara nyingine kuacha alama mbele ya Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022 umemalizika kwa sare ya kufungana magoli 1-1.

Yanga ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao kipindi cha kwanza kupitia kwa Makambo kabla ya Ssetujju kusawazisha kipindi cha pili kwa mkwaju wa penati.

Mbeya City walicheza kwa muda mrefu wakiwa pungufu baada ya Mpoki Mwakinyuke kuoneshwa kadi nyekundu.

CAF YAWAOKOA YANGA SAKATA LA USAJILI WA MORRISON…ATUMIWA RATIBA YOTE KWAO GHANA…MSUVA AWEKWA KANDO… KUONDOKA KWA BWALYA KULIVYOISAIDIA SIMBA…ALIKUWA WAKAWAIDA MNOO…KAMBOLE KWA YANGA APEWE MUDA …

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply