Habari za michezo

HIVI NDIVYO SAKHO NA TUZO YAKE WALIVYOPOKELEWA MISRI NA MASTAA WA SIMBA…AMKIMBILIA KAPOMBE NA KUMKUMBATIA…

admin July 24, 2022 6:00 pm


Kiungo mshambuliaji wa Simba, Pape Ousmane Sakho amewasili nchini Misri kujiunga na wenzake katika kambi ya maandalizi wakijiandaa na msimu mpya 2022/2023.

Sakho amewasili nchini Misri akiwa na tuzo yake ya Goli Bora la mwaka la CAF 2022, alipoibuka kidedea usiku wa Julai 21, mjini Rabbat nchini Morocco.

Alipofika Kambini Sakho alimtafuta Mlinzi Shomari Kapombe na kushangilia nae kwa nguvu huku ikifahamika pasi ya goli hilo ilitoka kwa Kapombe.

Sakho alifunga goli lililobeba tuzo dhidi ya ASEC MIMOSAS katika mchezo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho, katika Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam.

KIUNGO YANGA ALAMBA SHAVU TIMU YA LIGI KUU UGIRIKI…..AOMBEWA DUA ASIPATE MAJERAHA… HUKO MISRI NI BALAAA…NI UTATU MTAKATIFU SIMBA…MOTO WA PHIRI,OKRAH SAKO HAUKAMATIKI..MORRISON APORA JEZI..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply