CAF
LAANA YA KUMUACHA KISINDA NA CHAMA YAWATAFUNA BERKANE…WATEMESHWA UBINGWA WA CAF…
admin
November 11, 2022
3:09 pm
RS Berkane wameondoshwa kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho na klabu ya Tunisia US Monastir kwa Agg ya bao 1-0.
Berkane ndiye bingwa mtetezi wa #CAFCC msimu uliopita wakitwaa kwa jumla ya Penati 5-4 dhidi ya Orlando Pirates.
Mchezo wa jana wa raundi ya pili umemalizika kwa sare ya 0-0 huku wakipoteza wa mwanzo kwa bao 1-0 na kushindwa kufuzu hatua ya makundi.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.