Habari za Yanga SC
Habari za michezo

KISA YANGA SC KUNUSA NUSU FAINAL CAF…ALLY KAMWE AMPIGA KIJEMBE HIKI MO DEWJI…

admin April 27, 2023 6:25 pm

Wakati Yanga SC wakiwa tayari wameshatanguliza mguu mmoja Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Rivers United ya Nigeria.

Tayari Afisa Habari wa Yanga ameshaanza mbwembwe na kutupa vijembe kwa watani zao Simba SC.

Akizungumza kupitia kipindi cha Sports Arena ally Kamwe anasema;

“Ghalib ni Bilionea ambaye amewekeza kwa muda mfupi na timu inakaribia kwenda nusu fainali, kuna watu wamewekeza pesa, masimango, vichambo, minuno na kila aina ya gubu na wanaishia robo fainali,”

Simba na Yanga wote kwa pamoja wanasubiri michezo ya Mkondo wa pili kujihakikishia kutinga hatua ya Nusu Fainali Michuano ya CAF.

KISA MAFANIKIO YA SIMBA SC CAF….JEMEDARI SAID AMLIPUA TENA MANARA… KUELEKEA MECHI NA WANIGERIA….EDO KUMWEMBE AIPASUKIA UKWELI YANGA…ATAJA YA TAIFA STARS…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply