Habari za Simba
Habari za michezo

KISA RAFU YA INONGA JANA….SIMBA WATOA TAMKO HILI…

admin September 22, 2023 7:54 pm

Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu amedai kuwa Mchezaji wao Henock Inonga ameumizwa kwa makusudi na Mchezaji wa Coastal Union Haji Ugando katika mchezo wa jana.

Akizungumza baada ya kumalizika kwa mchezo huo Mangungu amesema;

“ Kuna kampeni inafanywa kuumiza wachezaji wetu wa Simba ili Simba isicheze vizuri kama walivyomuumiza Moses Phiri”

Je unadhani Mangungu yuko sahihi kuwa Simba wanafanyiwa hujuma? Tupe maoni yako

SIMBA MDOGO MDOGO KAMA YANGA.

Wekundu wa Msimbazi Simba SC, jana wameendeleza rekodi yao ya kutopoteza mchezo wa Ligi Kuu ya NBC na sasa wamefikisha Unbeaten 26 baada ya kupata ushindi wa 3-0 dhidi ya Coastal Union.

Simba wanajaribu kuitafuta rekodi ya Unbeaten 49 ambayo iliwekwa na Yanga SC kabla ya kutenguliwa na Ihefu FC msimu uliopita wa Ligi 2022-23.

YANGA WAANZA VURUGU LIGI YA MABINGWA AFRIKA….KAZI KUANZA NA MECHI NA WASUDANI.. WAKATI BALEKE AKIANZA MBIO MAPEMA…KIPA MPYA SIMBA APEWA ONYO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply