Habari za Simba
Habari za michezo

REKODI HIZI ZA ROBERTINHO, GAMONDI HANA

Staff Desk November 1, 2023 6:32 am

Kocha Mbrazil wa Simba, Robertinho hajapoteza mchezo wowote msimu huu akiwa na Simba SC, Ligi kuu ameshinda michezo yote sita.

Katika Michuano ya AFL ametoa sare michezo yote miwili dhidi ya Kigogo wa Soka la Afrika Al Ahly, ngao ya jamii hajapoteza mchezo wowote kati ya michezo miwili aliyocheza mwanzoni mwa msimu huu.

Ligi ya Mabingwa Afrika amecheza michezo miwili hajapoteza akitoa sare mbili dhidi ya Power Dynamos na kuingia hatua ya Makundi

Wewe Kocha wenu rekodi hii anayo?

AFL KUTIMUA VUMBI MWEZI HUU WABABE HAWA KUKUTANA KUHUSU ISHU YA SKUDU KUSUGUA BENCHI ISHU KAMILI IKO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply