Habari za Michezo
Habari za michezo

TAIFA STARS, YANGA KUWANIA TUZO ZA CAF MSIMU HUU…..SIMBA ‘WABANIWA’….

admin November 1, 2023 4:36 pm

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza Timu za Taifa, Vilabu na Wachezaji wanaowania tuzo hizo mwaka 2023 ambapo Taifa Stars ya Tanzania itachuana na Timu za Taifa za Cape Verde, Gambia, Guinea Bissau, Equatorial Guinea, Mauritania, Morocco, Msumbiji, Namibia na Senegal.

Kwa upande wa Vilabu, Mabingwa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga Africans inashindana na CR Belouizdad, USM Alger, ASEC Mimosas, AL Ahly FC, Raja CA, Wyadad AC, Mamelodi Sundowns, Marumo Gallants, na ES Tunis.

Tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika Desemba 11, 2023 Nchini Morocco, zimeiacha nje ya kinyang’anyiro Klabu ya Simba kutoka Tanzania.

GAMONDI AWATULIZA PRESHA WACHEZAJI WA YANGA………. MECHI NI YETU HII MASTAA AZAM FC WAMUAMULIA KOCHA WAO…WAPANGA KUMFANYIA ‘NDOMBOLO’…AFUKUZWE..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply