Habari za michezo

BODI YA LIGI YAILAMU YANGA KWENYE DABI YA KARIAKOO, KISA HIKI HAPA

Staff Desk November 4, 2023 10:39 am

Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imesema haipendezwi na tabia ya timu mgeni kwenye Mchezo wa Kariakoo Derby kutoifanyia promo mechi hiyo na kuachia jukumu hilo kwa timu mwenyeji pekee.

Akizungumza na kituo cha Radio cha Clouds, Msemaji wa Bodi ya Ligi, Karim Boimanda amesema mchezo huo si tu kwa ajili ya mapato ni Mchezo mkubwa Nchini na Afrika mashabiki hivyo vilabu vyote viwili (2) vinapaswa kuipromoti mechi hiyo.

“Hii inatokana na kanuni ya kuwa timu mwenyeji ndio atapata mapato yote ndio maana timu mgeni hafanyi promo, bodi ya ligi hatufurahishwi na jambo hilo tutalifanyia kazi suala hilo. Mechi hii sio tu kwa ajili ya mapato ni mechi ya hadhi ya nchi,” amesema Boimanda.

MASTAA HAWA WA SIMBA MATOKEO YA DABI YA KARIAKOO YAPO MABEGANI MWAO ROBERTINHO ACHIMWA MKWARA MZITO…… KINACHOFANYIKA KWENYE DABI NI ZAIDI YA AFL

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply