Home Meridianbet WIKIENDI YA MAOKOTO IMEFIKA….TEMBEA NA ODDS HIZI UHAKIKA NI 100%…

WIKIENDI YA MAOKOTO IMEFIKA….TEMBEA NA ODDS HIZI UHAKIKA NI 100%…

Meridianbet

Hivi unajua wikendi yako itakuwa murua sana ukianza kwa kubashiri na Meridianbet mechi zote ambazo zinapigwa leo?. Kuwa Tajiri kuko mikononi mwako leo.

Ligi kuu ya SAUDIA leo hii pia itaendelea Al Kholood atakiwasha dhidi ya Al Qadsiah. Mwenyeji yupo nafasi mbaya ya 15 hivyo pointi 3 za leo ni muhimu sana kwake huku mgeni yeye akiwa nafasi ya 4 na ushindi wa leo utampeleka nafasi ya 3. Mechi hii imepewa ODDS 6.20 kwa 1.48. Jisajili hapa.

Wakati kwa upande wa Al-Orobah yeye atamenyana dhidi ya Al-Riyadh ambapo timu hizi odds zao hazijatofautiana sana kwani ni 2.70 kwa 2.55. Je beti yako leo hii unaiweka wapi kwenye hizi timu mbili leo? Suka jamvi hapa.

Mechi kali sasa Saudia itakuwa ni hii ya Al-Ittihad dhidi ya Al Nassr Club. Yaani huku Benzema kule Ronaldo kila mtu kuwania pointi 3. Mwenyeji yupo nafasi ya 1 na mgeni wake nafasi ya 3. Meridianbet wamewap kina Ronaldo ushindi kwa ODDS 2.37 kwa 2.70. Tengeneza jamvi hapa.

ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet leo?. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Ligi ya Ujerumani, BUNDESLIGA ambapo leo hii kutakuwa na mtanange mkali kabisa kati ya wenyeji VFB Stuttgart dhidi ya Union Berlin. Mwenyeji ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita, wakati mgeni yeye ametoka kupasuka mechi yake iliyopita. Meridianbet inampa mwenyeji nafasi kubwa ya kushinda leo kwa ODDS 1.73 kwa 5.00. Je wewe beti yako unampa nani?. Jisajili hapa.

Kule LALIGA pia kuna mechi moja kali ya kuwania pointi 3 kati ya RC Celta De Vigo atakuwa mwenyeji wa RCD Mallorca ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 6 pekee huku mara ya mwisho kukutana, walitoa sare. Leo hii kwa mabingwa wa ubashiri Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.87 kwa 4.70. Suka jamvi hapa.

Vilevile kule SERIE A kuna mechi za kukutajirisha sana ambapo mechi ya kwanza ni ya Inter Milan dhidi ya Parma. Ikumbukwe kuwa Inter ndio bingwa mtetezi wa ligi na sasa yupo nafasi ya 3 na mgeni wake yupo nafasi ya 11. Inzaghi anahitaji ushindi leo hii ajiweke kwenye nafasi nzuri ya kuwania ubingwa. Mechi hii ina ODDS 1.20 kwa 13. Tandika jamvi hapa.

Na mechi kali kabisa itakujia majira ya saa 4:45 usiku ambapo Atalanta atamualika AC Milan kwake huku mwenyeji akitaka ushindi hii leo kwa hali na mali ajiweke kwenye kuwania ubingwa. Milan yeye yupo nafasi ya 7, huku mtanange wa mwisho kuonana, walitoshana nguvu. Anayependelewa kuondoka na pointi 3 katika dimba la Gewiss ni mwenyeji akiwa na ODDS 2.13 kwa 3.45. Jisajili hapa.

Meridianbet inakwambia pia kuna mechi za kupiga mshindo pale LIGUE 1 kati ya Lille OSC dhidi ya Stade Brest 29 ambao wapo nafasi ya 11 huku mwenyeji wake akiwa nafasi ya 4, tofauti ya pointi kati yao ni 7 na mechi ya mwisho kukutana walitoa sare. Nani kuondoka kifua mbele leo?. 1.75 kwa 5.20 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.

Pia hapo baadae PSG baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa ugenini dhidi ya Auxerre ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 8 akiwa na pointi zake 19. Vijana wa Luis Enrique wanahitaji ushindi hii leo wazidi kutokomea kileleni. Beti mechi hii yenye ODDS 7.80 kwa 1.35.

SOMA NA HII  MECHI BOMBA ZINAKUSUBIRI WIKENDI HII...