Home Meridianbet NI KASINO GANI MERIDIANBET KUCHEZA NA KUSHINDA RAHISI?..JIBU HILI HAPA…

NI KASINO GANI MERIDIANBET KUCHEZA NA KUSHINDA RAHISI?..JIBU HILI HAPA…

Meridianbet

Hakuna mtu asiyejua utamu wa keki, na utamu huo hupatikana kwa kutengenezwa vizuri na kupambwa kwa Ice Cream bomba ili kuivutia keki, utamu huu unaupata tena Meridianbet Kasino Mtandaoni kwa kucheza mchezo wa Cake and Ice Cream.

Cake and Ice Cream ni mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Red Tiger. Katika mchezo huu, utafurahia urahisi wake. Malipo ya juu unayoweza kupata kupitia njia nyingi za malipo na kila unapoucheza unaweza kushinda mara 2,500 zaidi ya dau lako.

Sifa Kuu za Mchezo Huu| Cake and Ice Cream.

Cake and Ice Cream mchezo wa kasino mtandaoni wenye visanduku vitano vilivyopangwa katika safu tatu na una mistari 20 ya malipo iliyowekwa. Ili kupata ushindi wowote, unahitaji kuunganisha alama tatu au zaidi kwenye mstari wa malipo.

Pia katika mchezo huu wa kasino mtandaoni inawezekana kuongeza ushindi kwa kuunganisha alama nyingi kwenye mstari wa malipo na unapata chaguo la kubashiri malipo yako kwa kubonyeza GAMBLE. JISAJILI NA MERIDIANBET ufurahie mchezo huu rahisi kucheza na kushinda.

Ndani ya sehemu ya Salio chini ya sanduku, utaona vitufe vya plus na minus ambavyo vinatumia kuweka thamani ya dau kwa kila mzunguko.

Cake and Ice Cream ni mchezo wa Meridianbet Kasino Mtandaoni wenye chaguo la kucheza Automatic ambapo unaweza kuweka hadi mizunguko 100. Kabla ya kuanzisha safari hii, weka kikomo cha hasara unayoweza kuvumilia.

Ikiwa unapenda mchezo wa haraka zaidi, tunayo suluhisho. Anzisha mizunguko ya haraka kwa kubonyeza sanduku linaloitwa Turbo. Kama sio mpenzi wa kasino unaweza kubashiri michezo kwa ODDS KUBWA na Machaguo 1000+. BASHIRI HAPA.

Bonasi za Mchezo wa Kasino Mtandaoni Cake and Ice Cream.

Kila unapocheza mchezo wowote wa Meridianbet Kasino aidha ni Sloti, Poker, au Roulette tegemea kupata ushindi Zaidi kuliko hasara, na ili kunogesha safari yako, Meridianbet watakupatia Bonasi kwa kila hatua unayofika kama ifuatavyo;

Ishara 11 za ziada zinaleta mara 250 ya dau.

Ishara 12 za ziada zinaleta mara 500 ya dau.

Ishara 13 za ziada zinaleta mara 750 ya dau.

Ishara 14 za ziada zinaleta mara 1,000 ya dau.

Ishara 15 za ziada zinaleta mara 2,500 ya dau.

Alama za ziada zinaweza kuonekana kama kubwa kama 2×2 au 3×3.

NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

 

SOMA NA HII  IFANYE SIKU YAKO KUWA YA BAHATI NA CASINO HII YA MERIDIANBET...