Home Meridianbet MASHINDANO YA EXPANSE SLOT MERIDIANBET YALETA ZAWADI KABAMBE….

MASHINDANO YA EXPANSE SLOT MERIDIANBET YALETA ZAWADI KABAMBE….

Meridianbet

Mabingwa wa kubashiri nchini Meridianbet wameleta mchongo kabambe wa Expanse Slot unaoishia, hadi Desemba 31, 2024.

Kumbuka mashindano haya yanapatikana kwa wachezaji wote waliosajiliwa kwenye jukwaa la Meridianbet. Washiriki wanayo nafasi ya kufurahia michezo mbalimbali ya Expanse slot na kushindania zawadi kubwa.

Ili kushiriki, hakikisha akaunti yako imesajiliwa kwenye meridianbet.co.tz. Wachezaji wapya wanakaribishwa kujiunga na furaha hii.

Kwa maelezo zaidi na kanuni za mashindano, tafadhali tembelea ukurasa wa promosheni kwenye tovuti ya Meridianbet.. Na Kama bado hujajisajili, USIJALIā€¦. JISAJILI SASA.

Michezo ambayo itahusishwa kwenye shindano hili la mabingwa ni kama ifuatavyo Book of Eksimo, Book of Egypt, Fortune Farm, Sticky 777, Veni Vidi Vici, Forest Rock, Piggy Party, Battle for the Throne, na Bounty Hunters

Ikumbukwe hakutakua na mshindi mmoja tu wa Milioni taslimu kwakua hili ni shindano basi washindi watachukua kitita kama ifuatavyo

Mshindi nafasi ya 1- Tshs 1,000,000

Mshindi nafasi ya 2- Tshs 500,000

Mshindi nafasi ya 3 na 4- Tshs 250,000 kila mmoja

Mshindi nafasi ya 5- Tshs 100,000

Washindi hawataishia watano tu kwani wengine watakua wakipata mizinguko ya bure kwenye michezo mbalimbali ya kasino ambayo watakua wanacheza ambayo itawapa fursa ya kutengeneza maokoto ya kutosha.

Mbali na kucheza michezo mbalimbali ya kasino lakini pia Meridianbet wanakukumbusha usiisahau kubashiri michezo mbalimbali kwani ligi mbalimbali barani ulaya na dunia nzima zinaendelea karibu kila siku.

NB: Jisajiri na Meridianbet upate bonasi kibao na kufurahia ushindi kila dakika unapobashiri michezo mbalimbali ikiwa na odds kubwa.

SOMA NA HII  UNATAMANI KUTUSUA NA JACKPOTI ZA MERIDIANBET?....SIRI NZIMA IKO HAPA...