Home Meridianbet BASHIRI NA MERIDIANBET MECHI ZA UEFA LEO…ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA….

BASHIRI NA MERIDIANBET MECHI ZA UEFA LEO…ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA….

Meridianbet

Hatimaye leo ndio leo asemaye kesho muongo kwani, leo ndio itajulikana nani anaaga mashindano ya ligi ya mabingwa kwa mechi za leo. Benfica. PSG na wengine wapo dimbani kukupatia pesa.

Mechi kali kabisa itakuwa pale Anfield ambapo Liverpool watawaalika kwao PSG, huku ikumbukwe kuwa Jogoo ana faida ya goli moja. Vijana wa Luis wanahitaji ushindi ugenini leo kuvuka hatua nyingine halikadhalika kwa Liver. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.35 kwa 2.85. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa leo?. Jisajili hapa.

Wakati mpambano mwingine ni huu wa Inter Milan vs Feyenoord ya kule Uholanzi. Mwenyeji alishinda mechi ya kwanza walipokutana, hivyo leo hii mwenye kibarua cha kuvuja jasho kwa nguvu ni mgeni kama anataka ushindi. Anayendelewa kuondoka na pointi 3 leo hii ni Muitalia kwa ODDS 1.37 kwa 8.40. Tengeneza jamvi hapa.

Mechi za UEFA kukupatia mshiko siku ya leo, bashiri sasa na Meridianbet mechi zote. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

FC Barcelona baada ya kushinda ugenini mechi yake ya kwanza leo hii atakuwa na kibarua cha kupepetana dhidi ya Benfica ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 6.60 kwa 1.42. Je nani kutoka hatua ya Robo Fainali siku ya leo?. Bashiri mechi hii sasa.

Pia mtanange mwingine ni huu wa Bayer Leverkusen vs Bayern Munich katika dimba la BayArena. Mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana vijana wa Kompany waliibuka na ushindi mnono, hivyo leo hii wenyeji wanataka kulipa kisasi. Meridianbet wamempa Munich nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.30 kwa 3.15. Jisajili hapa.

SOMA NA HII  MSHINDI KUVUNA MIL 400/= TZS SHINDANO LA EXPANSE..