Home Habari za michezo SIMBA DAY :-MBOSO ALIVYO ‘MBOSOA’ KWA MKAPA LEO….ALLY KIBA ASHINDWA KUJIZUIA KWA...
- Habari za michezo
- Habari za Simba
- Habari za Simba Leo
- Michezo
- Michezo Bongo
- Michezo Soka la Bongo
- news
- Simba SC
Mkali huyo wa Pawa aliingia kitofauti, alitinga kwa Mkapa na magari zaidi ya matatu ambayo yalichorwa rangi na kubeba madansa wake ambao nao walijichora rangi kwenye nguo zao.
Kama kuna shoo ambayo Mbosso atakuwa ameinjoi kufanya ni hiyo ya Simba Day kutokana na kiu yake ya kuimba mbele ya timu yake pendwa Simba.