Home Habari za michezo MAGIC WHEEL INAENDELEA KUSUMBUA MITAA KWA UKUBWA WA USHINDI

MAGIC WHEEL INAENDELEA KUSUMBUA MITAA KWA UKUBWA WA USHINDI

0

Mtaa umeshabadilika, kila mtu anaiongelea Magic Wheel. Wale wa nitajaribu kesho sasa hivi ndio wanakaa mbele wakishangaa wengine wanapiga pesa. Expanse Studios wameleta moto ambao hauzimiki kirahisi, mchezo wenye burudani ya ukweli na nafasi halisi za kubadilisha siku yako kwa sekunde chache tu.

Hapa hakuna kubahatisha sana, ni kuchukua nafasi yako. Gurudumu lina nafasi 56, linazunguka mbele yako likikusukuma kwenye presha ya kusubiri majibu. Ndani yake kuna namba 53 na zile nafasi 3 maalum zinazoweza kukutoa kapa au kukupeleka juu zaidi. Kila raundi ni nafasi na mwanzo mpya.

Meridianbet wanakupa jukwaa pana la kubashiri, mechi kali za kimataifa hadi michezo ya kasino mtandaoni iliyojaa burudani. Ukiwa na odds zenye ushindani mkubwa, kila tiketi inakuwa na thamani zaidi. Jiunge sasa kupitia tovuti yao au piga *149*10#.

Kuingia kwenye mchezo ni rahisi kama kunywa maji. Chagua namba zako kati ya 1, 2, 6 au 11, weka dau lako halafu bonyeza Play. Baada ya hapo, macho yote kwenye gurudumu na akili inachora picha ya ushindi. Ni hisia ambayo huwezi kuielezea mpaka uijaribu mwenyewe.

Halafu sasa kuna Box Bonus, mabox matatu, kila moja lina odds zake. Low, medium au high, chaguo ni lako lakini matokeo ni ya bahati. Hapo ndipo mchezo unakua na ladha nyingine kabisa, maana hujui unapofungua box lako utakutana na nini.

Kama ulikuwa unasubiri ishara ya kuingia kwenye mchezo mpya, basi ndio hii. Zungusha gurudumu lako leo, na baada ya hapo acha iwe siku ya kusimulia ushindi wako kwa sauti kubwa mtaani.