Meridianbet

Promosheni ya Wild White Whale Inakuja Na Mizunguko Yako 50 Bure

Vardo July 13, 2026 4:02 pm

Meridianbet, kampuni namba moja kwa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, inakualika kujiunga na promosheni ya kipekee ya Wild White Whale kwa mwezi mzima. Kwa kipindi chote cha promosheni hii, wachezaji waliojisajili wana nafasi ya kujipatia mizunguko 50 ya bure kila siku kwa kukamilisha mizunguko 100 kwenye mchezo wa kasino wa kusisimua wa Wild White Whale.

Kushiriki ni rahisi kabisa. Unahitaji tu akaunti halali ya Meridianbet na ucheze Wild White Whale kwa kutumia pesa uliyoiweka kwenye akaunti yako. Mara tu unapokamilisha mizunguko 100 kwa siku,mizunguko 50 ya bure itaongezwa moja kwa moja kwenye akaunti yako, bila kujali iwapo umeshinda au la.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Zawadi hii ya papo hapo inawapa wachezaji fursa ya ziada za kufurahia mchezo na kushinda bila gharama ya ziada. Kila mchezaji anaweza kupokea mizunguko hii ya bure mara moja kwa siku kwa kila akaunti.

Mizunguko hii ya bure haina masharti ya kuchezwa tena, yaani, unaweza kutoa ushindi wako mara moja bila vikwazo. Meridianbet ina haki ya kubadilisha au kusitisha promosheni hii wakati wowote bila taarifa ya awali, ili kuhakikisha uhalali na uwazi. Promosheni hii inapatikana kwa wateja waliojisajili kupitia meridianbet.co.tz au programu ya simu ya Meridianbet.

Hii ni fursa yako ya kipekee ya kupiga mbizi kwenye burudani ya Wild White Whale na kujizawadia mizunguko ya bure kila siku. Jisajili au ingia sasa kwenye meridianbet, cheza, na ufurahie wimbi la ushindi katika promosheni hii.

Nyota Wa Barcelona Kutimkia PSG