Jackpot ya Meridianbet Milioni 200
Meridianbet

Ally Selemani Mohamedi Mshindi wa Jackpot ya Milioni 200

Vardo October 15, 2026 10:37 pm

Baada ya kusubiri kwa muda mrefu, hatimaye ile Jackpot ya Meridianbet ya Milioni 200 imeweza kupata mshindi wa kwanza kutoka Mtwara ambaye ni Bwana Ally Selemani Mohamedi ambaye shilingi 500 ilibadili maisha yake.

Leo hii ndani ya makao makuu ya Meridianbet wamemtangaza kwa furaha zaidi mshindi wa kwanza wa Jackpot ya Milioni 200 ya USSD au Kitochi ambayo na wewe unaweza kuwa mshindi kwa kupiga *149*10#.

Bingwa huyu anaitwa Ally Selemani Mohamedi kutokea mkoani Mtwara ambaye moja kwa moja aliweza kupigiwa simu na kuambiwa kuwa yeye ndiyo mshindi wa kwanz akutokea wa Jackpot hii toka ianzishwe ambapo alitokwa na machozi ya furaha kusikia habari hizi.

Meridianbet wana Jackpot mbili, Yaani Jackpot ya Milioni 200 hii ni ya USSD na ile Jackpot baba lao kabisa ya Bilioni 2 ambayo hii ni ya Online lakini zote unaweza kubashiri kwa dau la shilingi 500/= pekee.

Ukiachana na mshindi huyo, unaweza ukatengeneza pesa kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Meridianbet wanasema hauhitaji dau kubwa ili uweze kuvuna mkwanja mrefu wa Jackpot kama alivyofanya Bwana Ally, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza *149*10# na kuanza safari yako ya ushindi siku ya leo na huenda maisha yako yakabadilika kabisa.

Kutokana na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia na ujio wa AI( Akili Unde) imerahisisha sana namna ya kubashiri na kukuwezesha kujishindia pesa kirahisi hivyo haina haja ya kuumiza kichwa kama alivyofanya mshindi wetu huyu.

Ukiingia kwenye USSD kwenda kubashiri Jackpot kuna machaguo unaletewa kwamba unataka kubashiri kwa Manual Bet, Safe Bet au Feeling Lucky kwa jina lingine AI ambapo hili chaguo ndilo lililompa utajiri huu mshindi wetu kutoka Mtwara.

Feeling Lucky(AI) hili ni chaguo ambalo mteja wala haumizi kichwa kufanya ubashiri kwani anakuta tayari AI imeshambetia mechi zake anachotakiw akufanya yeye ni kuweka dau na kubonyeza neno bet na anakuwa tayari ameshabeti kwahiyo anakuwa anasubiri tuu mechi zichezwe na kusubiri matokeo hapo baadae.

Bwana Ally hakuweza kuamini kama kweli angeweza kuwa mshindi na ile siku aliyokuwa anaisubiri hatimaye imefika ambapo leo hii ameweza kukabidhiwa pesa zake hizo na kuishukuru sana Kampuni ya Meridianbet kwa kuweza kumtangaza kuwa mshindi kwani watu wengi pia hawakuamini alivyowaambia kuwa ameshinda. Jisajili hapa.

Lakini pia aemongeza kwa kusema kuwa atazitumia pesa hizo kwaajili ya kuboresha maisha yake na familia yake kwani Meridianbet wameweza kutimiza ndoto zake ambazo alikuwa akiziota kwa muda mrefu.

Na wewe mteja wa Meridianbet bado usikate tamaa huenda leo ikawa ni bahati yako, mechi kibao zinakungoja wewe, ushindi ni nje nje. Usisubiri kupitwa na mkwanja wa maana, ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa.

Matokeo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya: Mabao 78, Real Madrid na PSG Zawasha Moto!