SIMBA YAHUSISHWA NA MSHAMBULIAJI HUYU.
INAELEZWA kuwa Simba ipo kwenye mazungumzo ya kuipata saini ya mshambuliaji wa Ihefu FC ambayo kwa sasa inaitwa Singida Black Stars, Ismail Mgunda. Nyota…
INAELEZWA kuwa Simba ipo kwenye mazungumzo ya kuipata saini ya mshambuliaji wa Ihefu FC ambayo kwa sasa inaitwa Singida Black Stars, Ismail Mgunda. Nyota…
KLABU ya Yanga inasemekana kuachana na kocha wa viungo wa timu hiyo, Youssef Ammar ambaye amedumu katika klabu hiyo kwa mafanikio makubwa sana. Kocha huyo…
Tanzania leo inaingia uwanjani ikitafuta ushindi wa pili kwenye michezo ya kutafuta tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 itakapovaana na Zambia. Tanzania ipo kundi…
BADO sakata la mgogoro ndani ya Uongozi wa Simba linaendelea, mapya yameibuka tena moja ya wajumbe upande wa Wanachama sha Baraka ameibuka na kusema kwamba…
SIMBA SC licha ya kugotea nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara na kusepa na tiketi ya kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika ikiungana…
Timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya Kimataifa, Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika zitapata nafasi nzuri ya kujiandaa na msimu mpya kwa…
SIMBA na Yanga, zinaweza zikaingia vitani kuwania saini ya straika Jean Baleke wa Al-Ittihad ya Libya, baada ya kuwepo na taarifa kufuatwa na viongozi wa…
MFUNGAJI BORA wa Ligi kuu ya NBC Stephane Aziz KI, amevunja ukimya juu ya yeye kuendelea kusalia ndani ya kikosi hicho, huku akifichua jambo kubwa…
BOSI wa zamani wa Simba, Azim Dewji amewatuliza mashabiki huku akiwaomba Mohammed Dewji na Mwenyekiti wa Bodi, Salim Abdallah Mhene ‘Try Again’ kujitokeza hadharani kusema…
WAFANYABIASHARA wa Mara wanataka kuendeleza biashara yao kwa kinda wa Yanga Denis Nkane, ilikuongeza nguvu kwenye kikosi chao ambacho kinajipanga kufuzu Ligi Kuu Tanzania Bara.…