KING KIBADENI AMPA ZA USO MO DEWJI…AONDOKE SIMBA
Mchezaji Gwiji wa Simba SC Abdallah King Kibadeni ameamua kuvunja ukimya kutokana na kile kinachoendelea katika klabu hiyo, na kumtaka MO Dewji kuachia nafasi yake…
Mchezaji Gwiji wa Simba SC Abdallah King Kibadeni ameamua kuvunja ukimya kutokana na kile kinachoendelea katika klabu hiyo, na kumtaka MO Dewji kuachia nafasi yake…
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro, ameipongeza Yanga kwa mafanikio makubwa, chini ya Rais wa klabu hiyo, injinia Hersi Said, akiwataka Simba…
USIKU wa Tuzo za Baraza la Michezo Taifa, ulifana sana ambapo klabu ya Yanga imefanikiwa kutwaa Tuzo ya Timu Bora ya Kiume ya Mwaka 2023…
Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji “MO” ameibuka kwa nguvu sana mitandaoni, na kuwafanya mashabiki wa timu hiyo kufikiria mambo mengi…
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said amesema kuhusu mipango ya kujenga uwanja wao wa kisasa katika eneo la Jangwani, walipewa machaguo mawili, walipwe fidia na…
UONGOZI wa Simba SC umeshitukia njama zinazoendelea na sasa wameandaa Sera maalum ya kufanya usajili mzuri ili kufanya makubwa kwa msimu ujao kwenye mashindano ya…
KLABU ya Yanga ipo kwenye mazungumzo ya karibuni zaidi na mshambuliaji wa klabu ya Ihefu Emmanuel Bola Lobota. Lobota aliyejiunga na Ihefu katika dirisha dogo…
HABARI ZA YANGA LEO; Serikali imefikia uamuzi wa kutoa ruhusa kwa klabu ya Yanga kujenga uwanja wake wa kisasa katika eneo la Jangwani yalipo makao…
HABARI ZA SIMBA LEO; Iko wazi sasa Mwenyekiti wa klabu hiyo Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ wamesema hawana…
MABINGWA wa Ligi kuu na Kombe la Shirikisho Yanga SC wametaja bajeti ya klabu hyio kwa msmu uliopita, ambapo kwa msimu ujao Bajeti yao wanatarajia…