Latest Posts

Habai za Simba- Fadlu

KOCHA FADLU AMEANZA VIZURI SIMBA

KOCHA wa Simba Fadlu Davids kwa namna anavyoifundisha timu hiyo, ameanza na msingi wa timu ( eneo la ulinzi ), linaonekana kuimarika / kuboreka, hii…

habari za simba-freddy

FREDDY AKANA KURUDI YANGA.

Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Freddy Michael ameshindwa kujiunga na USM Alger ya Algeria kwa kigezo cha kutowahi kuchezea timu ya taifa, lakini mwenyewe amezima uvumi…

HABARI ZA YANGA-MWAMNYETO

MAUYA NA MWAMNYETO WATOA MSAADA KWA MDAMU

BEKI na Nahodha wa Yanga Bakari Mwamnyeto na rafiki yake, Zawadi Mauya wa Singida Black Stars wamemshika mkono aliyekuwa mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Gerald Mathias…

Habari za Simba na Yanga

SIMBA NA YANGA CAF WANATAMANISHA.

WAWAKILISHI PEKEE wa Tanzania kwa upande wa Kimataifa, Simba na Yanga wanakabiriwa na michezo ya raundi ya pili kufuzu hatua ya makundi, wote watakuwa ugenini…

habari za simba-fadlu

FADLU DAVIDS APITIA NJIA ZA JURGEN KLOPP

LIVERPOOL kabla ya Jurgen Klopp alishawahi kupita kocha Bill Shankly ambaye alikuwa na mafanikio makubwa ndani ya Anfield lakini baada ya hapo Liverpool ilipitia kipindi…