UBAYA UBWELA WAZUA BALAA KWA WAPINZANI
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa nado hawajafika hata robo ya ubaya ubwela ndani ya kikosi hicho hivyo…
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa nado hawajafika hata robo ya ubaya ubwela ndani ya kikosi hicho hivyo…
KIUNGO mshambuliaji wa Simba anayeongoza kwa asisti kwa sasa katika Ligi Kuu Bara, Jean Charles Ahoua amerejea tena uwanjani akiwa fiti kwa asilimia 100 tayari…
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, 30, ameeleza mikakati yake wakati akitua Jamhuri ya Iraq huko Asia Magharibi kwa ajili ya kujiunga timu yake…
Hatima ya uhalali wa rufaa dhidi ya Klabu ya Yanga, inatarajiwa kujulikana leo Jumatatu, Septemba 9, 2024, wakati Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es Salaam,…
WIKIENDI hii beki wa zamani wa Richard Bays, Abdi Banda alitambulishwa Baroka ya Afrika Kusini alikoondoka miaka sita iliyopita. Banda kwa mara ya kwanza alijiunga…
NYOTA mpya wa Singida Black Stars, Israel Mwenda amewasili rasmi ndani ya kikosi hicho baada ya hivi karibuni kuibuka mgogoro wa kimaslahi baina ya pande…
Katika kuhakikisha nyota wake wanaozitumikia timu za taifa wanaziwahi mechi zao za ugenini za mashindano ya klabu Afrika wiki ijayo, Yanga na Simba zimepanga utaratibu…
IKO WAZI kwamba Winga Mcongo Ellie Mpanzu amefeli majaribio yake na KRC Genk,kwa sasa amerejea Kishansa kuangalia mustakabali wa maisha yake….ukweli ni kwamba Mpanzu hataki…
MABAO 22 yamefungwa katika michezo 13 ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa mpaka sasa, 19 yakifungwa kwa njia ya kawaida na matatu kwa mikwaju ya…
WAKATI Mnyama akitarajia kushuka dimbani leo kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya JKT Tanzania, Uongozi wa klabu hiyo umesema hawatarudia makosa yaliyojitokeza misimu mitatu iliyopita.…