SIMBA YAJIFUA KUWAMALIZA WALIBYA…NGOMA AONGEZA MZUKA
KIUNGO wa Simmba Fabrice Ngoma amerejea nchini kuungana na wachezaji wenzake, uongozi wa Simba umesema unaendelea na mikakati ili kuhakikisha wanaiondoa Al Ahly Tripoli ya…
KIUNGO wa Simmba Fabrice Ngoma amerejea nchini kuungana na wachezaji wenzake, uongozi wa Simba umesema unaendelea na mikakati ili kuhakikisha wanaiondoa Al Ahly Tripoli ya…
MSHAMBULIAJI wa Yanga na timu ya taifa ta Tanzania Clement Mzize, amesema yeye ni hatari zaidi akitokea benchi kuliko akianza katika kikosi cha kwanza cha…
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amewajibu baadhi ya mashabiki wa Klabu wa Simba wanaosema kwamba Yanga wamekwenda kufanya ushirikina kwenye uwanja wa…
Sakata la beki mpya wa Singida Black Stars, Israel Mwenda na uongozi wa timu hiyo limebakia hatua chache kabla ya kufikia mwishoni baada ya wasimamizi…
KOCHA Mkuu wa Simba Fadlu Davids ameuzungumzia ubora wa mabeki wake wa kati, Che Malone Fondoh, Chamou Karaboue, Hussein Kazi na haswa Abdulrazack Hamza. Fadlu…
Mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu msimu huu baina ya Simba na Yanga iliyopangwa kuchezwa Oktoba 19 katika Uwanja wa KMC Complex, Mwenge,…
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga Princess, Sabina Thom anatarajiwa kujiunga na kambi ya timu hiyo baada ya kumaliza fainali za Klabu Bingwa Afrika kwa Wanawake. Yanga…
Anaitwa Abdulrazack Mohamed Hamza mwenye uwezo mkubwa sana wa kucheza eneo la kushoto na kulia katika nafasi ya beki wa kati katika ukuta wa mabeki…
Ilikuwa rahisi kama ambavyo nilikuwa naamini itakuwa hivyo,ule ukute wa Simba pale nyuma kwa sasa chini ya “Insepector” Chamou Karaboue, Abdlurazack Hamza pamoja na Che…
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kwamba alihusika katika ushawishi wa kumbakisha mshambuliaji Clement Mzize asiondoke klabuni hapo huku akitaja sababu mbili za uamuzi…